Mfululizo wa Kukua Kiroho (Growing in Maturity)

Written on 05/04/2024
Gordon Decker

Mfululizo wa Kukua Kiroho (vifungu pendekezwa)

Somo la 1
Wafuasi Hueneza Wanayoyajua na Kuwa Waaminifu (2 Timotheo 2:1-7)

Somo la 2a
Wafuasi Hufanya Wengine Kuwa Wanafunzi (Mathayo 28:16-20)

Wafuasi ni Mabalozi wa Kristo (2 Wakorintho5:11-21)

Somo la 2b
Wafuasi Hushirikisha Ushuhuda Wao 1 (Yohana4:4-26, 39-42)

Wafuasi Hushirikisha Ushuhuda Wao 2 (Matendo ya Mitume 26:2-29)

Somo la 2c
Wafuasi Hutafuta Watu wa Amani na Kuwasaidia Wengine Kumwona Yesu (Luka 10:1-12, 16-20)

Somo la 3a
Wafuasi Huendelea Kukutana Pamoja (Waebrania 10:23-25)

Wafuasi Huelewa Kwamba Yesu Analijenga Kanisa Lake (Mathayo 16:13-21)

Somo la 3b
Wafuasi Huelewa Kwamba Wao ni Sehemu ya Mwili wa Kristo (1 Wakorintho12:12-30)

Wafuasi Hudumu Katika Umoja (Matendo ya Mitume 2:42-47)

Somo la 4a
Wafuasi Huelewa Kwamba Mungu ni Mmoja (Kumbukumbu la Torati 6:4-5)

Wafuasi Huelewa Nafasi ya Mwana (Wakolosai 1:15-20)

Wafuasi Huelewa Nafasi ya Baba (Zaburi 139:1-8)

Wafuasi Huelewa Nafasi ya Roho Mtakatifu (1 Wakorintho 2:10-16)

Somo la 4b
Followers Pray Based on their Relationship with God (John 17)

Wafuasi Huomba kwa Kuzingatia Uhusiano wao na Mungu (Yohana 17)

Somo la 5a
Wafuasi Huishi kwa Kuzingatia Nafasi yao Katika Kristo (Waefeso 1:3-14)

Wafuasi Huwa Imara na Salama Katika Uhusiano wao na Kristo (Yohana 10:25-30)

Somo la 5b
Wafuasi Hukubali Maonyo Kutoka kwa Mungu (Waebrania 12:5-11)

Wafuasi Hudumu Katika Kristo (Yohana 15:5-17)

Somo la 6
Wafuasi Humpenda Mungu na Kuwapenda Wengine (Marko 12:28-34)

Wafuasi Hudumisha Umoja Katika Kristo 1 (Waefeso 4:1-6)

Wafuasi Hudumisha Umoja Katika Kristo 2 (1 Wakorintho 1:10-17)

Somo la 7
Wafuasi Hufurahia Neno la Mungu Liletalo Hekima ya Maisha (Zaburi 1)

Wafuasi Humsikiliza Mungu Akiongea Kupitia Kwenye Maandiko (2 Petro 1:16-21)

Wafuasi Hutambua Nafasi ya Maandiko Katika Maisha Yao (2 Timotheo 3:14-17)

Somo la 8
Wafuasi Huomba kwa Malengo (Mathayo 6:5-13)

Wafuasi Huhakikishiwa Kwamba Mungu Anajibu Maombi (Yohana 14:12-14)

Wafuasi Hawajisumbui Bali Huomba (Wafilipi 4:4-7)

Wafuasi Huomba Bila Kukoma (1 Wathesalonike 5:16-18)

Somo la 9
Wafuasi Huacha ya Nyuma na Kumfuata Yesui li Kuwa Wavuvi wa Watu (Marko 1:14-17)

Wafuasi Huhesabu Gharama ya Kumfuata Yesu (Luka 9:57-62)

Somo la 10a
Wafuasi Huamini na kubatizwa (Matendo ya Mitume 8:9-13)

Wafuasi Hubatizwa Katika Kristo (Warumi 6:1-7)

Wafuasi Hubatizwa Baada ya Kuamini (Matendo ya Mitume 8:26-38)

Somo la 10b
Wafuasi Humkumbuka Yesu Katika Meza ya Bwana (Luka 22:14-23)

Wafuasi Humkumbuka Yesu Katika Meza ya Bwana (1 Wakorintho 11:23-33)

Somo la 11a
Wafuasi Hutambua Kwamba Injili ni kwa Ajili ya Watu Wote (Matendo ya Mitume 10)

Somo la 11b
Wafuasi Hutimiza Amri Kuu --- Kupenda (Mathayo 22:34-40)

Wafuasi Huelewa Kwamba Kumpenda Jirani Yako ni Kupenda Watu Wote (Luka 10:25-37)

Somo la 12
Wafuasi Hutoa 1 (2 Wakorintho 8:1-15)

Wafuasi Hutoa 2 (2 Wakorintho9:1-15)