Wafuasi wa Yesu Waacha Kila Kitu (Luka 5:1-11)
Wafuasi Hudhihirisha Upendo wao kwa Kutii (Yohana 14:15-31)
Wafuasi Wanakuwa na Mtazamo Mmoja na Yesu (Wafilipi 2:1-13)
Wafuasi Hushinda Majaribu kwa Kutumia Neno la Mungu (Luka 4:1-13)
Wafuasi Huwatambulisha Wengine kwa Yesu (Yohana 1:35-51)
Wafuasi Hupitia Mateso (Matendo ya Mitume 4:23-31)
Wafuasi Hufuata Mfano wa Yesu wa Maombi na Kufunga (Mathayo 6:5-18)
Wafuasi Huonyesha Upendo kwa Maadui (Mathayo 5:38-48)
Wafuasi Hawaogopi Mazingira magumu(Luka 8:22-25)
Wafuasi Hawahofii Kesho yao(Mathayo 6:25-34)
Wafuasi Husamehe na Kutafuta Kurejesha Mahusiano Yaliyovunjika (Mathayo 18:15-35)
Kumfuata Yesu Katika Ndoa, Sehemu ya 1 (1 Wakorintho7:1-17; 2 Wakorintho6:14-18)
Kumfuata Yesu Katika Ndoa, Sehemu ya 2(Mathayo 19:1-12; Waefeso 5:21-33)
Wafuasi Hutimiza Ahadi Zao (Mathayo 5:33-37)
Wafuasi Huishi kwa nidhamu ya pekee Wanapoendelea Kukomaa Katika Kristo (Waefeso 4:15-31)
MUHIMU: Mwongozo wa Mwezeshaji ni njia rahisi ya kukusaidia wewe au Kikundi kugundua na kutumia ukweli unaopatikana kwenye vifungu hivyo hapo juu.