Wafuasi wa Yesu Waacha Kila Kitu (Luka 5:1-11)

Wafuasi Hudhihirisha Upendo wao kwa Kutii (Yohana 14:15-31)

Wafuasi Wanakuwa na Mtazamo Mmoja na Yesu (Wafilipi 2:1-13)

Wafuasi Hushinda Majaribu kwa Kutumia Neno la Mungu (Luka 4:1-13)

Wafuasi Huwatambulisha Wengine kwa Yesu (Yohana 1:35-51)

Wafuasi Hupitia Mateso (Matendo ya Mitume 4:23-31)

Wafuasi Hufuata Mfano wa Yesu wa Maombi na Kufunga (Mathayo 6:5-18)

Wafuasi Huonyesha Upendo kwa Maadui (Mathayo 5:38-48)

Wafuasi Hawaogopi Mazingira magumu(​Luka 8:22-25​)

Wafuasi Hawahofii Kesho yao(Mathayo 6:25-34)

Wafuasi Husamehe na Kutafuta Kurejesha Mahusiano Yaliyovunjika (Mathayo 18:15-35)

Kumfuata Yesu Katika Ndoa, Sehemu ya 1 (1 Wakorintho7:1-17; 2 Wakorintho6:14-18)

Kumfuata Yesu Katika Ndoa, Sehemu ya 2(Mathayo 19:1-12; Waefeso 5:21-33)

Wafuasi Hutimiza Ahadi Zao (Mathayo 5:33-37)

Wafuasi Huishi kwa nidhamu ya pekee Wanapoendelea Kukomaa Katika Kristo (Waefeso 4:15-31)

 

MUHIMU: Mwongozo wa Mwezeshaji ni njia rahisi ya kukusaidia wewe au Kikundi kugundua na kutumia ukweli unaopatikana kwenye vifungu hivyo hapo juu.